ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,678
- 69,305
Kipaombele ni kukamilisha,kwani yeye Magufuli alikamilisha ndani ya awamu ya kwanza? So hiyo ya Samia itakamikishwa awamu ijayoKakamilisha aliyoikuta 40% tu ila aliyoianzisha yeye imwkwama nenda Lot 5 kwa taarifa zaidi
MAMA SAMIA RAISI WETU ANA TOFAUTI KUBWA MNO NA WATANGULIZI WAKE. KWA JINSI ALIVYOKAMILISHA MIRADI YA MTANGULIZI WAKE BILA KUPIGA MAKALELE NI MAAJABU AMBAYO VIONGOZI WOTE WANATAKIWA KUJIFUNZA.My Take
Ukweli huu Kuna kundi la watu Huwa hawataki kuambiwa.
Miradi yote ya urithi ilikuwa chini ya 40% lakini Samia ameikamilisha bila mbwembwe bila kujimwambagai.
Hongera sana mama kazi umeniweka Kwa ufanisi mkubwa ππ
View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1817837705088110853?t=PBQsCCJDW5JMDK5PfH9ItQ&s=19
Wala hadharau mtu,angeweza kusema wamekaa miaka 5 hakuna walichofanya.MAMA SAMIA RAISI WETU ANA TOFAUTI KUBWA MNO NA WATANGULIZI WAKE. KWA JINSI ALIVYOKAMILISHA MIRADI YA MTANGULIZI WAKE BILA KUPIGA MAKALELE NI MAAJABU AMBAYO VIONGOZI WOTE WANATAKIWA KUJIFUNZA.
Wote hao wanafuata ilani ya CCM ni kama mbio za vijiti kupokezana kwa hiyo hapa huwezi kuwatoa viongozi wote hao kwenye maendeleo ya nchi hiiJk asizunguke kwenye media kumsemea Samiaβ¦! Samia na JPM walianza kuitekeleza hiyo miradi kwa hiyo yeye JK hana alichofanya zaidi ya kuongea!
JK anaumia hakufanikisha hiyo miradi na anaumia zaidi watanzania wanajua miradi ni mchango na nguvu za JPM!
JK kila leo anazunguka kufanya interview za kulazimisha JPM asionekana amefanya lakini bado ana gonga mwamba ππππ
KWA HIYO HUKTAKA AKAMILISHE AWAMU YA KWANZA NDIO AENDELEE HADI HUKO UNAKATOKA?raisi Samia akiweza kujenga hata 5 km tu pass Dom ni ikakamilika pamoja na station ya maana ndiyo nitampa sifa yoyote, hiyo Dar-Moro/Dom kila kitu kilishafanyika na hata Kandarasi aliachwa site, ajenge beyond Dodoma kwanza ndiyo nimpe sifa kwa upande wangu, aifikishe hata Manyoni (Singida) tu na tuone station imekamilika kila kitu β¦
KWA HIYO HUKTAKA AKAMILISHE AWAMU YA KWANZA NDIO AENDELEE HADI HUKO UNAKATOKA?
Amesahau kuwa hii generation sio ya wajingaJk asizunguke kwenye media kumsemea Samiaβ¦! Samia na JPM walianza kuitekeleza hiyo miradi kwa hiyo yeye JK hana alichofanya zaidi ya kuongea!
JK anaumia hakufanikisha hiyo miradi na anaumia zaidi watanzania wanajua miradi ni mchango na nguvu za JPM!
JK kila leo anazunguka kufanya interview za kulazimisha JPM asionekana amefanya lakini bado ana gonga mwamba ππππ
Andika uelewekeraisi Samia akiweza kujenga hata 5 km tu pass Dom ni ikakamilika pamoja na station ya maana ndiyo nitampa sifa yoyote, hiyo Dar-Moro/Dom kila kitu kilishafanyika na hata Kandarasi aliachwa site, ajenge beyond Dodoma kwanza ndiyo nimpe sifa kwa upande wangu, aifikishe hata Manyoni (Singida) tu na tuone station imekamilika kila kitu β¦
Huyu akiwa mtakatifu basi watanzania wote ni watakatifu.
Kwa hiyo ukistaaAngepumzika tu aedelee kula pension
Kwamba ukistaafu hutakiwi kuongea au?Angepumzika tu aedelee kula pension
JPM alimfunika sana Kikwete kiasi kuwa bado inamuuma sana hata baada ya JPM kutangulia. Kikwete angekuwa na busara, angeacha historia ijiandike yenyewe badala ya yeye kujaribu kupanga historia iweje. Juhudi hizi za kuandika historia upya zitamharibia jina zaidi kwenye historia itakayojiandika yenyewe.Jk asizunguke kwenye media kumsemea Samiaβ¦! Samia na JPM walianza kuitekeleza hiyo miradi kwa hiyo yeye JK hana alichofanya zaidi ya kuongea!
JK anaumia hakufanikisha hiyo miradi na anaumia zaidi watanzania wanajua miradi ni mchango na nguvu za JPM!
JK kila leo anazunguka kufanya interview za kulazimisha JPM asionekana amefanya lakini bado ana gonga mwamba ππππ