Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha

Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Acha hizo ww. Msikilize mzazi wako na halafu uwe mtiifu kwani hicho kidato cha nne ni sawa na kusema umefuta ujinga tuu; sasa nenda kasome. :KEKBye:
 
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha

Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Unataka kuwa designer kama Noel bwabwa!??.... Kama ndio acha tu... Madisigner asilimi zaidi ya 70 ni mabwabwa....
 
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha

Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Hivi point 21 ni Div two au Division 3?

Turudi kwenye swali lako, kwa nini mzazi wako anataka uende advance? Wewe unataka kusoma Designing ya nini?
 
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha

Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Naomba unijibu swali hili ndo nikushauri"KATI YA WEWE NA WAZAZI WAKO NI NANI ANA UZOEFU WA KIMAISHA?"
 
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha

Nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing.
Kwani una umri gani kwa sasa? Kama hata miaka 20 hujavuka, basi ni vyema ukamsikiliza mzazi wako. Nenda kidato cha 5! Halafu ukifika kasomee combination mpya inayoendana na hobby yako.

Hayo mambo ya designing unaweza kuyasoma hata baada ya kumaliza chuo kikuu. Wewe ni mtoto wa kike. Usilazimishe kuingia mapema kwenye maisha! Utachoka mapema. Kumbuka maisha siyo mchezo.
 
Ungekuwa unaenda chuo kusomea kozi za skills za kueleweka. Kama ufundi magari, umeme,. Unesi , ufundi electronics,, Ningekusapoti.

Ila mambo ya kwenda chuo kusomea designing naona haupo serious na maisha.

Ni bora uende advance
 
Nenda chuo achana na hayo matakataka ya form 5&6 hayana maana katika ulimwengu wa sasa zaidi ya kupoteza muda, wazazi wasio jielewa ndio hao wasiojua dunia iko wapi wanalazimisha watoto waishi zama za ujima za miaka 20 iliyopita wakidhani elimu bado ni ile ile.

Huyo mzazi wako asipokuelewa mtafute mtu mzima mwenye busara amueleweshe ajue mambo yako vipi, ni vilaza pekee hupeleka watoto A-level kwenda kupoteza muda, na ukiwauliza elimu ya 5&6 ina manufaa yapi, hawajui zaidi ya kukalili ujinga.

Ni wakati sasa wa kufuta huu mfumo mbovu wa kupoteza muda masomoni ktk mambo yasiyo na maana.

Nenda chuo ukapate maarifa& vyeti, ikishindikana nenda hata VETA na sio hiyo takataka ya 5&6
 
Back
Top Bottom