Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,205
- 1,523
Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona.
Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi.
Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu wa kukemea, kukosoa, pale ambapo viongozi wetu hawa wabinafsi, waloo wa madaraka, wanao angalia zaidi familia zao kuliko kuangalia uzalendo wa taifa letu pendwa la Tanzania.
Mzee wetu tupo nyuma Yako kukuunga mkono juu ya kujenga taifa letu kwa ajili ya kizazi cha kesho.
Mzee wetu tunajua unapitia wakati ngumu juu ya kutetea maslai mapana ya taifa letu pendwa juu ya hawa wanaojiita wanaCCM huku wakiacha misingi ile CHAMA ilio anzishwa na Baba wa Taifa hili ambao ni upendo, watanzania wote ni ndugu, umoja na mshika mano, pamoja na kulinda utu wa mtu.
Mzee warioba karma itakuinua, upo tayari kupoteza malupulupu, Yako kwa ajili ya kutetea maslai ya taifa letu hili, hakuna mwingine mzee mwenyewe ujasili kama wako huo Mungu akulinde, akupe maisha marefu zaidi, usivunjike moyo, haki HUINUA TAIFA, watanzania wengi wapo nyuma Yako ila hawana ujasiri wa kusema wanaogopa" kutekwa" kupoteza maslai yao" kupoteza vyeo vyao, kupoteza mali zao . Mungu Ibariki Tanzania.
By mwinjilist