Mzalendo aliytumikia taifa lake kwa moyo wote

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,381
6,945
Heroiic Agustime Mrema

image_search_1730322287313.jpg
 
Unajua Mwl.Nyerere....
Aliona mbali...waTanzania hawakutaka vyama vingi,ati vitaleta vita....SASA DUNIA ISINGETUELEWA....
Basi Mwl. alikuwa ni bingwa wa mizengwe...ndio watu wa Usalama wa Taifa wakapewa assignment kina Mabere Marando,Augustine Lyatonga Mrema na wengineo wafanye usanii kwamba Tanzania ina vyama vingi..... kumbe la haula ni wale wale.
 
Back
Top Bottom