Blessed Agent
Member
- Nov 16, 2020
- 10
- 10
My Top 5 list ya Movies of All Time ambazo baadhi sio Common Zenye ;
1. Akili nyingi
2. Haziko Predictable
3. Zina Action Zenye quality nzuri (sio kama za kihindi😂)
4. Visa na matukio ya Kusisimua well planned scenes
5. Siasa pamoja na Visa vya Mapenzi kidogo (Hakuna Ushoga wala Usagaji) na mwisho Scenes za kufurahisha comedy kidogo (Hasa kwa Korean Movies)
TWENDE SASA;
5. CHUNO. THE SLAVE HUNTERS
Mwaka 2010
Wazee wa Internet Movie Database maarufu kama IMDb wameipa rate ya 8.6/10.
Hii ni Action Historical Drama kutoka barani Asia, South Korea. Moja kati ya movie yenye visa vya kusisimua yaani iko full packages. Wakorea walitulia sana humo.
Halafu kuna soundtrack zao fulani aise ni very emotional kuziskia. Tena ukiwa na sound speaker za Home theater genuine uta enjoy sana. Kisa kikoje ilikuwaje wala nisiongee sana itafute hutajutia believe me.
4. KINGSMAN; THE SECRET SERVICE
Mwaka 2014.
IMDb wameipa rate ya 7.7/10
Hii ni filamu ya Kijasusi kutoka U.K Mwanzo ilitoka kama Single Movie then 2017 wakatoa part 2 nyingine kwa jina la Kingsman The Golden Circle . Part 3 wakatoa nyingine kwa jina la The King's Man. Zote ziko poa hasa ya kwanza na ya pili.
Hii ni moja kati ya movie ambayo imetoa walau code kadhaa kuhusu ulimwengu wa Ujasusi ulivyo behind closed doors.
Humu watu wako very Smart, Narudia tena Very Smart lakini ni very dangerous.
Akili nyingi, Comedy kdg kutana na Mzee Baba Harry Hart kanyuka suti moja matata imenyooka anakwambia "Manners - maketh - man." Aise nisiseme sana hii ni Balaa. Hii kila ukirudia kuangalia kuna vitu vipya unagundua ambavyo huku vi-notice mwanzo. Haichoshi na ina vituko kidogo kubalance isiwe utabe mwanzo mwisho.
3.SIX FLYING DRAGON
Mwaka 2015
IMDb rate 8.8/10
Ni South Korea tena. Kama kuna movie ambayo haipewi heshima yake inayostahili bas ni hii. Hii pia unaweza angalia na familia hata na wazazi haina shida na inafundisha sana kuhusu maisha yetu na utawala ulivyo. Humu kuna mikasa ya Siasa, Usaliti, Haustling zenye uhalisia, Vituko kdg aise mimi huwa sio mpenzi wa movie za kutafsiriwa na hawa voice over wa kibongo, lakini hii na-reccomend ukiweza tafta hata iliyotafsiriwa.
Kuna vipande vinachekesha hatarii😂
Nimerudia kuangalia mara nyingi sana. Hii hata Jumong yenyewe hapa kwa maoni yangu haifui dafu. Kuhusu sounds tracks humu ndiyo mahala pake. Very emotional.
Ukiachana na masabufa yanayo umiza masikio, Tumia kuangalia hii movie kupitia sound speaker zile Home theater genuine kama vile LG, Sony au JBL ndiyo utafaidi zaidi.
2.QUEEN OF THE SOUTH
Mwaka 2016.
IMDb rate 8/10
Well, Rating yake tu inajieleza pia. Wazee wa kazi a.k.a wanyamwezi kutoka Ughaibuni huko America hawajakaa nafasi hii kwa bahati mbaya. Moja kati ya Movie Series ya kibabe sana. One mistake unaadhibiwa hakuna excuse humu. Hakuna utani kwanza kuna sura ngumu humu aise risasi nje-nje hawacheki na wowote😂
Humo kuna watabe kwelikweli star mwenyewe kateseka sana jaman sio Ile Star kila anachofanya kinaenda tu bila uhalisia, No kapambana sio mchezo.
Utaona namna Biashara ya madawa ya kulevya ilivyo na Risk, roho mkononi muda wote. Ina matukio yenye uhalisia fulani kuhusu namna biashara haramu zinavyoendeshwa nyuma ya pazia. Hii hutajutia nakusihi sana iangalie.
1. DECODED
Mwaka 2016
IMDb rate ya 7.8/10
Naam, Here comes Chinese Spy film ever seen.
Karibu kwenye nafasi ya kwanza katika list hii, hapa wachina wamestahili kukaa.
Unajua wazungu wame i-underrate kdg lakini huu mzigo ni hatarii niseme ni wivu wao tu!
Moja kati ya Chinese Spy Drama pengine sio popular sana na huenda wengi wenu hamjawahi kuiskia. Secret Agents humu wamefanya mission ya kutumia akili sana. Kuna bwana-mdogo mmoja Genius kapambana sana humu.
Kwanza hii hata haiko predictable kila tukio linalofuatia mbele ni suprise na unique very interesting.
As usual Asian hawanaga mambo yetu yale ya kwich-kwich za wazi-wazi hii iko Clean kabisa unaangalia hata na mama mkwe bila shida😂.
Pia ina mtiririko mzuri sana wa Visa na Matukio. Mtafutano au Msako uliopo humu, Akili na maarifa yaliyotumika hata C.I.A wana mengi ya kujifunza hapa.
China ni ma-Genius sana sana.
Hii ndiyo filamu pekee nilikesha nayo usiku mzima mpaka mchana siku ya pili bila kuchoka wala kuskia njaa mpaka mwisho!!
Angalizo : Hii nashauri kabla ya kuitazama kwanza uwe na muda wa kutosha na kula mapema hii iko too addictive.
*ALL THE BEST *