Mwl. Nyerere alishituka ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo

Kiweli

Member
Sep 15, 2024
6
4
Mwl. Nyerere alishituka Ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo?

Je ni maelekezo au ni Falsafa ya 4R kutoka kwa Mh. Rais Samia. Ndio uliokipa ushindi wa chama chake wa 98.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…