Mkweliii
Member
- Apr 15, 2025
- 7
- 4
"CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO ELECTION!, na bangi za Lema zikikolea kichwani anaanza kuwaimbisha wanachama TONE TONE mara NIMO!
CHADEMA hakuna mkakati unaokamilika na kuleta matokeo, ni chama kinachokosa consistencies katika mikakati, chama kwa sasa kinaendeshwa kwa stimu."
Mwl. Mbelwa Petro, akiwa anapokelewa na Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Stephen Wasira, 25 Machi, 2025 mkoani Kagera.