Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Sikubaliani na wewekutawaliwa na kiongozi msiyemtaka ni ujinga wenu
Hapo ndio marekani itabidi iombe pooo! Taifa hilo litashuka sana kiuchumi iwapo litaanza vita hiyo
Yule dogo atakuwa ametamani kufa.
Atashambulia tu! kaeni tayari mda wowote akishaamua anafanya kweli!
Unabii juu yake ulishatolewa ule usiku wa mwaka mpya na tb joshua!
Na mashambulizi yake hayataaffect eneo lengwa tu bali dunia nzima!
Ufafanuzi kidogo japo na kwenye Bible kuna sehemu inagusa kuhusu kaskazin mashariki kupiga magharibi cku za mwishoAtashambulia tu! kaeni tayari mda wowote akishaamua anafanya kweli!
Unabii juu yake ulishatolewa ule usiku wa mwaka mpya na tb joshua!
Na mashambulizi yake hayataaffect eneo lengwa tu bali dunia nzima!
Usimwabudu Mmarekani......Iko siku ataangukia pua...ni muda tu.Rais wa Korea kaskazini, Kim Jong Un, leo hii ametishia kuzishambulia Korea kusini na marekani Kwa kutumia makombora ya nyuklia.
Endapo atafanya mashambulio hayo, ndo mwisho wa enzi wa utawala wa kiimla wa Korea kaskazini utakuwa umefika mwisho.
maana watakutana na kichapo hatari na Kim Jong un atapinduliwa na kunyongwa na kisha utawala wa kidemokrasia utachukua nafasi.
rais Kim Jong Un akiwa na mjomba wake Jenerari Taek aliyemuua kikatili Kwa kumweka katika chumba chenye mbwa 100 wenye njaa Kali na vichaa.