Mwimbaji Abihudi Misholi alishayatabiri yanayotokea

Madingi ya Mbinguni

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
14,133
35,744
Mambo yanayotokea Tanzania kwa sasa aliyatabiri muimbaji wa nyimbo za injili mch abihudi misholi

Wakati mkapa anaondoka madarakani anaingia kikwete aliimba wimbo huo mzuri Sana na wenye kutafakarisha

Naomba muusikilize tena siujui jina ila maneno ni haya

Katika awamu zooteee
Bora hayati nyerereee
Bora mheshimiwa mwinyi
Bora mheshimiws mkapa....................

Sikilizeni huo wimbo au mwenye nao au upload hapa wakuu!!
 
Promo!
 
Hiyo nyimbo naijua vizuri sana wewe uelewa wako umekwama mahali coz una mahaba na chuki za kisiasa.
NB: KIPINDI CHA MKAPA ZANZIBAR WATU WALIUWAWA KAMA MBU. KUNA WALIOFIKA MOMBASA BILA KUJUA WAMEFKA VIPI.
AU ULIKUWA HUJAZALIWA?
 
Kwa

Kwa uelewa wako mdogo unadhani yanayofanywa na ccm hayatupeleki huko? Unadhani kuminywa kwa demokrasia na viongozi kupigwa risasi haitupeleki huko?
wabunge wa ccm wanapotumia uwingi wao kupitisha miswada na sheria kandamizi haitupeleki huko?
Mambo ya Shimoni Mombasa hayaji overnight ni mchakato mlolongo wa process tatizo ukiwa ccm automatically unakuwa na akili ndogo siku zote

Injustice ndio lilikuwa zao la Yale yote yaliyotokea Zanzibar enzi za mkapa sasa kwa taarifa yako mkapa alikuwa bora Mara dufu kuliko sasa Kwahiyo tunapotahadharisha mazingira haya hatukosei na bado nasimamia msimamo wangu yaliyosemwa na ule wimbo yanakuja haya jaja bado ila yapo njiani kwasababu ya injustice hebu fikiria ccm wana mikutano kila siku ya kampeni ushahidi upo wakina heri James wanapita kila mkoa kunadi ilani za ccm ila wakifanya upinzani wakuu WA wilaya wanawaletea polisi na kuwatisha mbaya zaidi viongozi wa dini wameamua kuwa wanafiki muda bado unakuja endeleeni kuchimba mashimo mnayodhani watakaotumbukia ni chadema

Poor you!!
 
Aisee ni kweli ila...
Mambo yanayotokea Tanzania kwa sasa aliyatabiri muimbaji wa nyimbo za injili mch abihudi misholi

Wakati mkapa anaondoka madarakani anaingia kikwete aliimba wimbo huo mzuri Sana na wenye kutafakarisha

Naomba muusikilize tena siujui jina ila maneno ni haya

Katika awamu zooteee
Bora hayati nyerereee
Bora mheshimiwa mwinyi
Bora mheshimiws mkapa....................

Sikilizeni huo wimbo au mwenye nao au upload hapa wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Kwa uelewa wako mdogo unadhani yanayofanywa na ccm hayatupeleki huko? Unadhani kuminywa kwa demokrasia na viongozi kupigwa risasi haitupeleki huko?
wabunge wa ccm wanapotumia uwingi wao kupitisha miswada na sheria kandamizi haitupeleki huko?
Mambo ya Shimoni Mombasa hayaji overnight ni mchakato mlolongo wa process tatizo ukiwa ccm automatically unakuwa na akili ndogo siku zote

Injustice ndio lilikuwa zao la Yale yote yaliyotokea Zanzibar enzi za mkapa sasa kwa taarifa yako mkapa alikuwa bora Mara dufu kuliko sasa Kwahiyo tunapotahadharisha mazingira haya hatukosei na bado nasimamia msimamo wangu yaliyosemwa na ule wimbo yanakuja haya jaja bado ila yapo njiani kwasababu ya injustice hebu fikiria ccm wana mikutano kila siku ya kampeni ushahidi upo wakina heri James wanapita kila mkoa kunadi ilani za ccm ila wakifanya upinzani wakuu WA wilaya wanawaletea polisi na kuwatisha mbaya zaidi viongozi wa dini wameamua kuwa wanafiki muda bado unakuja endeleeni kuchimba mashimo mnayodhani watakaotumbukia ni chadema

Poor you!!
Kipindi cha nyerere watu waliuwawa tena viongozi wakubwa.
Kwa mwinyi kidogo afadhali
Mkapa ndo kama nlivokuelekeza
Kikwete ndo usiseme watu walikuwa wanatekwa na kuuwawa sana pande za msitu wa pande
Jiwe nayeye anaendelea na trim hiyohiyo.
Kama hujajua serikali yoyote duniani haina msamaha kwa mtu anayejifanya kuleta lomoni kweny maslai ya hiyo serikali. Ndo utawala ulivo hata kwa bosi wako ukijifanya pang'ang'a sana unafukuzwa kazi.
Kagame wapinzani wake humsema wakiwa nje ya nchi lakini hutuma watu hukohuko na kuuwa hao wapinzani.
Kwa Museveni ndo usiseme labda tuwaulize Boby wine na Besigye.
So jenga hoja mzee mambo ya nyimbo waachie BASATA.
 
Hakuna lolote na hakuna Kiongozi anayeipenda Tanzania hata hao kina kikwete ni unafiki tu kuna mtu asiyejua umuhimu wa katiba mpya kwa mazingira ya Sasa? Viongozi wote niwabinafsi tu.
 
Back
Top Bottom