Mwijaku yuko Makkah mbele ya Alqaab kuliombea Taifa kwenye Ibada ya Umra!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,035
164,304
Yesu alisema "...ndipo wa kwanza watakuwa wa Mwisho na wale wadhaniwao Kuwa wa Mwisho watakuwa wa kwanza"

Mwijaku yuko Ibadan Makkah mbele ya Alqaab katika ibada ya Umra kukamilisha mfungo wa Ramadan

Katika msafara huo Mwijaku ameongozana na viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali wakiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi, RC wa Pwani, RC wa Simiyu na wengine Wengi

Mwijaku ametumia Ibada hiyo kuliombea Taifa la Tanzania na Rais Samia

Nawatakia Dominica njema 😄😄
 
ULIISOMA HII LAKINI
images%20(69).jpg
 
Ukimuombea Rais umeliombea Taifa Usiwe bwege

Nakutakia Dominica Njema 😄🔥
Amemuombea Samia in personal capacity na Si Taifa.
Sisi kama Taifa tuna ugomvi na mtu au wananchi ndio wanadaihaki zao ikiwa ni KATIBA, afya-NHIF, nyumba zao za serikali zilizouzwa kwa matajiri , tozo haramu za madawati ambazo zimebaki mpaka leo, mafuta kupanda etc?
 
Hiyo personal capacity ndio inayoongoza Makaratasi mengine ni procedure tu

Mwijaku analiombea taifa lipone!
 
Kwenda maka siku hizi kama kwenda kwa mganga bagamoyo. Nauli yako tu.ndo maana wanafanya UPUUZI.
Umemaliza, unaweza kutoea Gesti Sinza bila kuoga ukaenda,na wanao haribu dini ni wapuuzi wachache. Kama Warabu na mshehe huko wangejua hawa watu sijui kama wangewaruhusu.
 
Back
Top Bottom