Mwigulu Nchemba acha kutudanganya kwenye masuala ya ukuaji wa Uchumi duniani

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,053
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.
Screenshot_20240411-152559.jpg
 
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.View attachment 2960703
Mwigulu huwa anaona watanzania wote ni wajinga kama wanyiramba wenzake
 
Kule Iramba nyumba nyingi ni za tembe siyo rahisi mtu kumiliki redio au tv, Mwigulu mwenyewe makazi yake ni Dodoma na Dar kule huwa anaenda na kurudi kulala Dodoma
 
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.View attachment 2960703
intarahamwe kwani unaumia uchumi ukishuka!
 
Kiukweli Tanzania tumepitwa na akina Rutto

Wizara ya uchumi wampe Prof Lipumba

Hapo Fedha wamuweke Mzee Mtei

Mbona USA yule Biden anapiga Kazi na alikuwa na akina Mtei enzi za Nyerere 😂
Yupo dkt mmoja hapo moshi anaitwa kimei wangempatia tu akatuweka uchumi wa kwanza wala si kati tena!
 
Nilijipangia kwa Uchumi wangu ninunue Skafu yangu ya Uzalendo FC kwa hela ya madafu, ila baada ya taarifa hizi wacha nipate Tusker moja ya baridi.

Hawa Benki ya Dunia huwa wana yao lakini.

Magulification works, by the way.
 
Nchi ya waswahili na mambo yao ni ya kiswahili swahili tu!

Na ndiyo maana mswahili mbongo akidakwa Kenya, haruhusiwi kujitetea kwa lolote ni hadi afikishwe kotini

Mwigulu ni mswahili tu naye

Juzi mtu kaleta mada ya kustajabisha jinsi shilimgi yetu inavyoporomoka dhidi ya shilingi ya Kenya

Wahuni wanajibu kimkato mkato tu eti havihusiani na ukuaji wa uchumi au kuporomoka kwa uchumi,

Sasa yako wapi, vipanga vilivyopo WB vinasema kuimarika kwa shilingi ni hatua moja wapo wa kuimarika kwa uchumi, lakini wabongo wao wanakataa

Sifahamu vyuo wachumi wetu walisomea vyuo vipi
 
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.View attachment 2960703
Onhoo..tayari
 
Kenya ni nchi ya wazarishaji Kwao wasomi wengi wako katika uzarishaji wafugaji wakulima wafanya biashara
Tofauti na Tanzania wasomi wetu ni watu wa kulialia kufikiria serikali inainua uchumi
Serikali kazi Yake ni kukusanya Kodi na kuzitumia kutawala na kujenga miundo mbinu hakuna jingine
Kuimarika Kwa shillingi hutokana na mauzo ya nje
Mkiwa nchi inayotegemea kununua kila kitu toka nje pesa yenu haitakua imara Kwa kua ni nchi tegemezi
 
Nchi ya waswahili na mambo yao ni ya kiswahili swahili tu!

Na ndiyo maana mswahili mbongo akidakwa Kenya, haruhusiwi kujitetea kwa lolote ni hadi afikishwe kotini

Mwigulu ni mswahili tu naye

Juzi mtu kaleta mada ya kustajabisha jinsi shilimgi yetu inavyoporomoka dhidi ya shilingi ya Kenya

Wahuni wanajibu kimkato mkato tu eti havihusiani na ukuaji wa uchumi au kuporomoka kwa uchumi,

Sasa yako wapi, vipanga vilivyopo WB vinasema kuimarika kwa shilingi ni hatua moja wapo wa kuimarika kwa uchumi, lakini wabongo wao wanakataa

Sifahamu vyuo wachumi wetu walisomea vyuo vipi
Kwa Madenge
 
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.

Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani.

Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania.

Juzi mh Mwigulu alituaminisha kuwa uchumi wa taifa letu unapaa sana.

Kuendelea kuwa na wanaojiita chawa ndani ya nchi hii tutambulia sifuri kwenye issue yaaendeleo kiukweli.View attachment 2960703
Usitake kupotosha.

Back
Top Bottom