Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,106
10,177
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528 zimeharibiwa kutokana na hali hiyo. Waziri amesema barabara hizo zimeanza kujenga na baadhi zimeanza kuwa zinapitika kwa muda.

Waziri ameomba kuwa na mfuko wa majanga ili kuwa tayari kifedha kwa majanga yanayoweza kuja kutokea.

====

Pia soma:
 
Back
Top Bottom