Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa ahamasisha Mbowe, Zitto na wengine wanaoikwamisha Serikali 'washughulikiwe'

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020.

















UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!
 
hate speech
noun
1.
abusive or threatening speech or writing that expresses prejudice against a particular group, especially on the basis of race, religion, or sexual orientation:
"we don't tolerate any form of hate speech"
Powered by Oxford Dictionaries
 
Haya yote yametokana na mfano anaounesha mwenyekiti wa chama na rais wa nchi, kama akina james wanatoa kauli za kuchochea mauaji na chama chake kinakaa kimya basi ni wazi kuwa wanabariki ujinga huo.

Nimemkumbuka dikteta Life President of Malawi, Hastings Kamuzu Banda 'Ngwazi' na kikundi chake cha vijana ndani ya chama tawala cha MCP, walikua na nguvu kuliko vyombo vya usalama vya nchi, walitesa na kuua wapinzani. Mwisho wa siku jeshi la malawi ndilo lililazimika kukisambaratisha kikundi hiki baada ya Ngwazi kuangushwa.

TPDF, TPF na TISS mnao wajibu wa kuilinda nchi hii dhidi ya matishio ya ndani na nje, UVCCM na kikundi hatari kwa usalama wa nchi hii, mkiendelea kukilea tutakuja kuchinjana kwama Rwanda.
 
Rwanda kulianza hivi hivi, watu wakapuuzia. MIMI BINAFSI SITOKUBALI TAIFA LANGU NINGAMIE KWA UCHU WA KUNDI MOJA. Wengi wetu hatuna chama chochote lakini tutaangamia na huu UPUUZI unaoendelea kwa kisingizio cha UZALENDO!!!!

Je kumuua mwezako ni UZALENDO??
 
Mbaya zaidi kwenye huo mkutano alikuwepo Mkuu wa mkoa wa Arusha (Mwenyekiti wa Ulinzi na usalama) na wakuu wa jeshi la polisi Arusha. Inaumiza sana sana.
 
Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020
View attachment 1344467
Haka kajamaa njaa inakasumbua
Kanadhani kanaweza kumua kiongozi wa kisiasa kama kanayemtaja na kabaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Heri James amewalaumu vijana wa CCM Tanzania kuwaacha wanasiasa wa upinzani Zitto Kabwe na Freeman Mbowe wakitembea mitaani bila kubughudhiwa/kushambuliwa kwa madai kuwa wanataka kulipasua taifa kwa vitendo vyao vya kuhujumu Serikali na Taifa

Naye Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Kenani Kihongosi amesema wapinzani wanaoichafua Serikali wanapaswa kukosolewa au Kuuawa kabisa.
 
Back
Top Bottom