Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Viongozi wa Africa wengi wana tatizo la kurithi tabia za kung'ang'ania madarakani hasa nchi zilizowahi kutawaliwa na ufaransa bado sijajua tatizo ni nini hasa.Banana republic politics!
Mimi sikumwamini hata kidogo huyo Jammeh alipokubali kushindwa.
Niliona kama vili ilikuwa ni stunt tu.
Taarifa za awali zilidai ni kweli alikubali kuachia kiti, tatizo likaja kwa Rais mteule kuanza mbwembwe kwamba atawashughulia viongozi waliomtangulia ambaye anamlenga Jameh, hata ningekua mm sitoki hahah!Banana republic politics!
Mimi sikumwamini hata kidogo huyo Jammeh alipokubali kushindwa.
Niliona kama vili ilikuwa ni stunt tu.
Taarifa za awali zilidai ni kweli alikubali kuachia kiti, tatizo likaja kwa Rais mteule kuanza mbwembwe kwamba atawashughulia viongozi waliomtangulia ambaye anamlenga Jameh, hata ningekua mm sitoki hahah!
Ila huyu Prof. Alhaj Dr. Yahya Abdul-Aziz Jemus Junkung Jammeh anavituko, namfananisha kwa mbaali na Chief Nanga, rejea kitabu cha A man of the people!Ndo hapo ujue kuwa hata huyo naye pengine hana tofauti yoyote ile na Jammeh...
Ndo hapo ujue kuwa hata huyo naye pengine hana tofauti yoyote ile na Jammeh...
Kama amefanya uhalifu hana budi kushughulikiwa. Nampongeza rais mteule kwa kutokuwa mnafiki..!Taarifa za awali zilidai ni kweli alikubali kuachia kiti, tatizo likaja kwa Rais mteule kuanza mbwembwe kwamba atawashughulia viongozi waliomtangulia ambaye anamlenga Jameh, hata ningekua mm sitoki hahah!
Umemmsikia Nkurunzinza anasema atagombea tena 2020?
Duh!
Muhula wa ngapi huo?
Na hii kauli ya rais mteule adama barroh ndo imekuwa tisho kwa rais jammeh ila tangu mwanzo nilishangaa imekuwaje.....kimempata nini jammeh dikteta kukubali matokeo ya vigololi kirahisi vile........ila hii tabia ya kungangania madaraka naona viongozi wa afrika wanarithishana kama sio kuambukizanaTaarifa za awali zilidai ni kweli alikubali kuachia kiti, tatizo likaja kwa Rais mteule kuanza mbwembwe kwamba atawashughulia viongozi waliomtangulia ambaye anamlenga Jameh, hata ningekua mm sitoki hahah!
Ila huyu Prof. Alhaj Dr. Yahya Abdul-Aziz Jemus Junkung Jammeh anavituko, namfananisha kwa mbaali na Chief Nanga, rejea kitabu cha A man of the people!
Sijajua kuhusu Faru John