rafael mkumbos
Member
- Sep 12, 2024
- 59
- 119
Waungwana salaam,
Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.
Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho, alipokea mwaliko wa SMS, lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.
Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua Bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kwa kuwa anatokea CHADEMA.
Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa DED.