Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,687
- 239,245
Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa Tanganyika na Zanzibar. Huko Zanzibar 2020 ndio Mwaka unaotajwa kuongoza kwa Mauaji ya wapinzani wa Pemba na Unguja, zipo tetesi kwamba kulikuwa na Majeshi ya kukodi kutoka Nchi Jirani ili kuteketeza waliomuunga mkono Maalim Seif.
Ingekuwa Nchi zenye kufuata misingi ya Haki, Viongozi wengi wa Tanzania walio hai leo, akiwemo Dkt. Mahera wangekamatwa na kufungwa jela kwa vifungo virefu huku wengine wakinyongelewa mbali kutokana na ushiriki wao kwenye uharibifu wa Uchaguzi ule.
Hata hivyo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi ameanza kukomboa Majimbo hayo na tayari taarifa zinaeleza kwamba Majimbo 20 kwenye Kanda hiyo yenye jumla ya Majimbo 31 yamekombolewa, huku yaliyobaki yanaendelea kupiganiwa kwa udi na uvumba
Hili hapa ni Jimbo la Mafinga Mjini, ambako Bilionea William Mungai aliporwa Ushindi wake kwa Mtutu wa Bunduki
Maandalizi ya Mkutano huu yamefanyika kwa muda wa Nusu saa tu .