Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 902
- 1,420
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.
Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko.
Hata utambulisho wetu Uzanzibar na Utanganyika usikosekane. Tukazie hapahapa kwenye mshono