Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,282 Jan 27, 2016 #1 Huyu Mwenyekiti wa BAVICHA amekuwa mkimya mno siyo kama John Heche,harakati zake hazionekani kabisa. Nadhani viatu alivyovaa ni vikubwa mno.Nafasi aliyopata hakustahili labda alikuwa na malengo yake
Huyu Mwenyekiti wa BAVICHA amekuwa mkimya mno siyo kama John Heche,harakati zake hazionekani kabisa. Nadhani viatu alivyovaa ni vikubwa mno.Nafasi aliyopata hakustahili labda alikuwa na malengo yake
ibesa mau JF-Expert Member Sep 17, 2015 2,109 1,697 Jan 27, 2016 #2 Anapwaya mno tena sana, bavicha hii si ile ya heche, hana mpango kazi wenye tija
Wa Kwilondo JF-Expert Member Sep 15, 2007 1,081 312 Jan 27, 2016 #3 Hivi hakuna namna ya kufanya upya uchaguzi? Au kwa nini haka kajamaa kasijiuzuru? Heche hakuandaa mrithi wake?
Hivi hakuna namna ya kufanya upya uchaguzi? Au kwa nini haka kajamaa kasijiuzuru? Heche hakuandaa mrithi wake?
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,095 Jan 27, 2016 #4 Patrobasi toka huko shimoni wadau washamind
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,282 Jan 27, 2016 Thread starter #5 ibesa mau said: Anapwaya mno tena sana, bavicha hii si ile ya heche, hana mpango kazi wenye tija Click to expand... Mchango wake hauonekani kabisa
ibesa mau said: Anapwaya mno tena sana, bavicha hii si ile ya heche, hana mpango kazi wenye tija Click to expand... Mchango wake hauonekani kabisa
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,282 Jan 27, 2016 Thread starter #6 Wa Kwilondo said: Hivi hakuna namna ya kufanya upya uchaguzi? Au kwa nini haka kajamaa kasijiuzuru? Heche hakuandaa mrithi wake? Click to expand... BAVICHA ya sasa haina nguvu imezidiwa hata bawacha
Wa Kwilondo said: Hivi hakuna namna ya kufanya upya uchaguzi? Au kwa nini haka kajamaa kasijiuzuru? Heche hakuandaa mrithi wake? Click to expand... BAVICHA ya sasa haina nguvu imezidiwa hata bawacha