Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,584
- 1,189
TUMEDHAMIRIA TUNAZIMA ZOTE TUNAWASHA KIJANI
đź“Ť16 Oktoba, 2024 Kagera
Kwenye mkutano wa hadhara ambao wenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ndio mgeni rasmi ambapo katika mkutano huo waliokuwa viongozi wa CHADEMA ngazi ya Mkoa na kiongozi wa Vijana wa Wilaya na jumuiya ya Wanawake wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.
Hii ikiwa ni sehemu ya dhamira ya kampeni ya Kijana na Kijani ambapo dhamira yake ni kuzima zote na kuwasha kijani.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa vijana ameweka wazi kuwa wote watakuja CCM ni swala la muda na dhamira yetu ya kuzima zote na kuwasha kijani inaendelea vizuri sana kwani jitihada za Mhe. Rais kuwaletea wananchi maendeleo zinawavutia watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa.
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#ShirikiUchaguziSerikalizaMitaa2024
Attachments
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.46.jpeg137.6 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.47.jpeg141.1 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.58.50.jpeg108.6 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.59.55.jpeg221.1 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.58.48(1).jpeg88.5 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.58.49.jpeg88.2 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.58.48.jpeg126.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.55.32.jpeg125.8 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.51.jpeg159.1 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.50.jpeg109.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.49.jpeg99.8 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.48.jpeg128.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.47(1).jpeg109.7 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2024-10-16 at 15.54.47.jpeg141.1 KB · Views: 2