Wakuu,
Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa
==============================================
Akizungumza wakati yupo kwenye mkutano wa "kumlazimisha" Mbowe agombee kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti, Big Wille ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amemfananisha Mbowe na kina Fidel Castro pamoja na Che Guevara.
Wille alisema kuwa viongozi wote wa mikoa CHADEMA, kwa umoja wao wameamua kumchukulia Mbowe fomu ya kugombea Uenyekiti whether atake au asitake.
View attachment 3179594