Kuelekea 2025 Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni kama Fidel Castro na Che Guevara. Utake usitake tunaenda kukuchukulia fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
960
2,551
Wakuu,

Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa

==============================================

Akizungumza wakati yupo kwenye mkutano wa "kumlazimisha" Mbowe agombee kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti, Big Wille ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amemfananisha Mbowe na kina Fidel Castro pamoja na Che Guevara.

Wille alisema kuwa viongozi wote wa mikoa CHADEMA, kwa umoja wao wameamua kumchukulia Mbowe fomu ya kugombea Uenyekiti whether atake au asitake.

View attachment 3179594
Iringa mnajua ukweli wa mambo na hongereni sana.
 
Back
Top Bottom