Pre GE2025 Mwenyekiti BAWACHA Sharifa: CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
1,002
1,979
“Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kamwe hatuwezi kupoteza muda kwa majibizano yasiyo na tija wala vijembe endapo kuna mwana CCM yoyote mwenye uwezo wa kujenga hoja basi anaalikwa katika majukwa ya hoja.”- Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Sharifa Suleiman
 
Mwenyekiti BAWACHA kabadili gear angani. Mbona alikataa kufanya kazi na Lissu alikuwa anamtaka Mbowe!🤣🤣🤣
Unamsingizia. Sharifa alitaka Mbowe awe Mwenyekiti na alimfanyia kampeni ili ashinde. Hiyo sio dhambi. Hamna mahali amesema kuwa hatambui matokeo ya uchaguzi na hivyo kukataa kufanya kazi na aliyeshinda. Kinachoelekea ni kuwa kuna baadhi ya watu ambao wako upande wa walioshinda ndio wanaotaka kuwatenga watu kama Sharifa ili kuwaadhibu kwa kutumia haki yao ya kumchagua wanayemtaka. Kinachosikitisha ni kuwa kuna dalili kuwa wanafanya hivyo dhidi ya Bawacha kwa ujumla. Hayo ni makosa makubwa.

Amandla...
 
“Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kamwe hatuwezi kupoteza muda kwa majibizano yasiyo na tija wala vijembe endapo kuna mwana CCM yoyote mwenye uwezo wa kujenga hoja basi anaalikwa katika majukwa ya hoja.”- Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Sharifa Suleiman
Sasa hpo Chadomo nani mwenye akili? Ilikuwa Mnyika sahivi ameshakuwa nyumbu na yeye. Lissu yule ni mwehu anajipayukia tu. Heche ndiyo mental kabisa.
 
Back
Top Bottom