Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 801
- 1,684
Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya.
============
Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa.
Amesema hayo mara baada ya kupokea taarifa ya upanuzi wa kituo cha afya Wanging'ombe ambacho kinatajwa kuwa msaada mkubwa kwa wananchi hao.
Ikumbukwe kuwa leo umefanyika Uzinduzi wa maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa CCM miaka 48 kimkoa.