K kifimbodo Senior Member Apr 23, 2015 151 73 Jul 7, 2016 #1 Humu naamini kila taarifa yaweza patikana kwa unyenyekevu kabisa naomba yeyote mwenye CV ya DED mteule hapo juu aniwekee yaani kiwango cha elimu yake na uzoefu wa kazi aliyokuwa nayo awali. Karibuni sana
Humu naamini kila taarifa yaweza patikana kwa unyenyekevu kabisa naomba yeyote mwenye CV ya DED mteule hapo juu aniwekee yaani kiwango cha elimu yake na uzoefu wa kazi aliyokuwa nayo awali. Karibuni sana