Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,095
- 17,471
Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena