momara
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 463
- 491
Habari wandugu
Kiukwel nimejitahidi kwa muda kidogo kujitafuta angalau nipate mtaji, nashukuru naona mwanga mbele.
Mtaji wenyewe ni banda la kuonesha mpira, au kama ijulikanavyo kama banda umiza. Binafsi nimevutiwa na kazi hii na napenda msimu huu kwa mapenzi ya Mungu niwe na banda la mpira.
Napata changamoto ya kujua gharama zake hasa upande wa vifaa, kama TV, ving'amuz, n.k
Ndugu zangu mwenye ufahamu kidogo kuhusu hili anijuze kidogo.
Karibu