Mwenye uelewa na uzoefu wa Toyota Klugger

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
508
470
Nawasilisha; kwa yeyote mwenye uzoefu na ufahamu wa gari hiyo tafadhali naomba anifahamishe:
Ukubwa wa ingine yake (power).
Service maintainance kwa mana ya gharama.
Durability ya gari hili kwa mana ya uimara wake.
Kiwango cha luxurious interior kinaridhisha?
Kiwango chake cha ulaji wa mafuta kipoje.
 

Attachments

  • 1454001044984.jpg
    41.9 KB · Views: 209
Kluger 2007-2013
 

Attachments

  • 1454001163229.jpg
    41.9 KB · Views: 149
Klugger ni gari nzuri katika mambo yafuatayo:
a. Stability katika mwendokasi
b. Comfortability.
c. Injini yake inanguvu sana.
d. Pia model yake bado iko kwenye chart.
Changamoto za Klugger:
a. Unywaji wa mafuta kwa kiwango cha juu kluger nyingi zina engine cc 3000
b. Spare zake ni adimu na pia ziko juu sana.
c. Ni aghalabu sana kuwapata mafundi wanao weza kutanzua matatizo ya Klugger.
 
Mkuu; kwenye hizo changamoto za speare na unywaji wa mafuta ni shida... Ningeomba uniorodhoshe gari zinazofanana na hiyo kluger huku zikitofautiana kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spears.
 
Kluger 2007-2013
Kluger no gari zuri. Nina uzoefu na 2005 model. Yenyewe ina 2AZ engine. Fuel consumption in kubwa ukitravel umbali mfupi. Kwa Dar mfano utapata 6km/l . Utaipenda kwenye safari ndefu. Kulingana na ufundi wako wa udreva na ukiwa na speed around 120 itakupa 9-10km/l. Ina AWD na hivyo kupita vizuri kwenye matope. Natamani wangeliinua kidogo maana no pana na fupi hivyo kupata shida kwenye mashimo makubwa. Kwa comfortability, halo wameweza. Lipo kimya ndani hats likiwa speed. Kuna wakati hutasikia mlio wa engine kama unamziki mzito. Ni family size car kwani kwa abiria 7 utakuwa family it a enjoy. Viti vya nyuma vikikunjuliwa back kuna nafasi ya mizigo. Kluger maintenance cost no ndogo hasa kwani Galina breakdown za ovyo. Sijui performance ya zile model zenye v6 engine. Bila shaka hazitakuwa na utafauti kweye comfortability. Kwa ujumla ni gari reliable na has a kama wewe ni MTU wa masafa

Mkuu; kwenye hizo changamoto za speare na unywaji wa mafuta ni shida... Ningeomba uniorodhoshe gari zinazofanana na hiyo kluger huku zikitofautiana kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spears.
 
Wanajamvi vipi kuhusu Nissan MURANO, mafuta, uimara, mambo ya spair, nk.
 
Hebu dadavua hilo kavu kwanza mkuu, au unaweza ukatutofautishi na hilo hybrid interm of perfomance.
Hybrid habari nyingine kAka, maana ni ina electric motor, ni intergrated system. Yaani inatumia umemee zaidi, hivyo cc 3500 hiyo gari inatumia mafuta kama vits, kavu ni inatumia fuel tu.
 
Mkuu; kwenye hizo changamoto za speare na unywaji wa mafuta ni shida... Ningeomba uniorodhoshe gari zinazofanana na hiyo kluger huku zikitofautiana kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spears.


I could suggest you Ford Xcape, cc2400
 
Mkuu; kwenye hizo changamoto za speare na unywaji wa mafuta ni shida... Ningeomba uniorodhoshe gari zinazofanana na hiyo kluger huku zikitofautiana kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spears.
Chukua Mitsubishi Airtrek ya 2005
 
Chukua Mitsubishi Airtrek ya 2005
Mkuu; ninachomaanisha ni ule unafuu wa kulihudumia gari... Mana hizi Mitsubishi watu walishaniweka chini na kuniambia kuwa hizi ni gari mbovu kihiziii, unaweza kupata pressure kwenye kulihudumia... Ninachokitaka ni gari ya wastani yenye viwango huku ukipeta kwenye spare na wataalam.
 

Attachments

  • 1454090344597.jpg
    12.3 KB · Views: 137
Mitsubisi si gari mbovu,sema sisi wabongo ni wabovu, hatuendani na quelity ya gari, tunapenda vitu cheaap, hatutaki kuwa update na ulimwengu wa leo, yaani gari itoke na iso no halafu useme mbovu? Kaka unataka nchi nzima iendeshe passo,ist na rav 4, hutaki ku drive honda, mazda,ford, volvo au bmw? Acha woga mkuu, dunia sasa ni kijiji, acha kuwasikiliza mafundi wa chini ya miembe
 
Kiongozi ni Hii ya cc 1990.
Ziko poa sana, nissan ni habari nyingine, from designing, confortability na speed. Watu wanaogopa bei ya spea sababubu wamezoea za toyota za kuchakachua made in ghonzuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…