chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 9,387
- 20,122
Baada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani.
Swala la kupewa eneo kwa ajili ya uwekezaji eneo la kiwanda teyari na kila kitu.
Naitaji kujua TIC itanisaidia vipi maana wengine sio sehemu yetu kubwa zaidi ya forex.