DART hawatoita tena watu kwa zile nafasi walizozitangaza.Zile kazi zilirudishwa tena kwa aliyepewa tenda ya kuendesha mradi ambae ni UDART ambae anaajiri kwa kutumia utaratibu wake ambao alishaanza kuutumia kuajiri watu.Note that DART ni agency wa serikali katika kusimamia mradi, UDART ni kampuni binafsi chini ya robert kisena(Bosi wa UDA) iliyoshinda tenda ya kuendesha mradi wa mwendokasi ila ikiwa monitered na serikali ambao ndio DART.Baada ya DART kutangaza zile kazi UDART wakacomplain kwa nini serikali inataka kuwaajiria watumishi wa kampuni yao ikiwa kuajiri wafanyakazi ni mandate yao(remember walishaanza kuita watu katika intavyuu na kuajiri), ndipo serikali(DART) ilipoamua kurudisha mandate hiyo ya kuajiri kwa UDART(private co) kuendelea na zoezi la kuajiri. So forget kabisa hutokuja kuitwa kwenye intavyuu na DART ila peleka maombi yako ofisi za UDART kama nafasi bado zipo utaitwa.