Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855
Ajiuzulu ili iweje? Kwani maana ya demokrasia ni nini?

Kama mna uhakika Tundu Lissu anashinda kwa nini mnaogopa Mbowe asishiriki uchaguzi??
 
Tafakari namna ya kuwalipa posho wajumbe, sio lazima kila siku kulinganisha Mbowe vs Lissu
 
Ajiuzulu ili iweje? Kwani maana ya demokrasia ni nini?

Kama mna uhakika Tundu Lissu anashinda kwa nini mnaogopa Mbowe asishiriki uchaguzi??
Naona hawaogopi chochote bali haki
Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855
Hawaogopi chochote, wanahitaji haki, uwazi na matokeo yasiyoingiliwa na mamluki.
 
Tatizo siyo wanaogopa uchaguzi bali wanataka kumlindia mzee Mbowe heshima kidogo alobakiwa nayo,,,,sa wanaomshauri ajiondoe hawataki kimvunjia heshima mbele ya ulimwengu,kumbka n vice chair wa demekrasia hko diniani
Ajiuzulu ili iweje? Kwani maana ya demokrasia ni nini?

Kama mna uhakika Tundu Lissu anashinda kwa nini mnaogopa Mbowe asishiriki uchaguzi??

Mbowe
 
Naona hawaogopi chochote bali haki

Hawaogopi chochote, wanahitaji haki, uwazi na matokeo yasiyoingiliwa na mamluki.
Kama huwezi kudhibiti kura zako, kama huwezi kuiba kura za mwenzio basi ujuwe wewe hujakomaa kwenye siasa.

Dunia nzima uchaguzi una michezo michafu, si USA si Russia, wala si Venezuela na Kenya, mwenye uwezo wa kucheza na mfumo ndiyo anashinda.

Subirini tarehe 21/ 01/ 2025 mutalizwa kilio cha mbwakoko meno nje kama ngiri
 
Tatizo siyo wanaogopa uchaguzi bali wanataka kumlindia mzee Mbowe heshima kidogo alobakiwa nayo,,,,sa wanaomshauri ajiondoe hawataki kimvunjia heshima mbele ya ulimwengu,kumbka n vice chair wa demekrasia hko diniani

Mbowe
Kuna mtu anaweza kuteremsha heshima ya Mbowe? Mavi yenu
 
Back
Top Bottom