Mwenye namba ya kuongea na huduma kwa wateja Vodacom ambayo sio 100

Tunapenda hoja hii communication directors wa kampuni za simu muichukue kumekuwa na usumbufu sana kupata huduma kwa wateja kuongea na Customer representatives instead mmeweka Interactive voice recorder hii sisi wateja haitusaidii sana.

Kampuni za simu na hata vifurushi kama dstv, azam, zuku kuwapata agent moja kwa moja imekuwa ni shida sana. hii si sawa toeni hela ajirini watu msitegemee IVR.
 
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.

Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.

Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?

Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini

Mimi nikipiga inapokelewa baada ya dakika, Tena naitwa mteja wetu wa thamani, wala singoji kwenye line.

Nafikiri wana rank kutokana na matumizi, kwa kifupi wanabagua wateja.
 
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.

Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.

Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?

Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Kuna VIP Desk Mkuu, nikipiga wanapokea haraka na kama tatizo halijakamilika wananitafuta wao. Tafuta Hela Mkuu TCRA nao wamekua wachuchu tu mbele ya Makampuni makubwa.
 
Waziri nape tunaomba Sasa makampuni ya simu yatoe Yale maelezo mengi wakipigiwa simu.badala yake iwe wanapokea moja kwa moja.nimefanya miamala wa laki 1+ kuanzia alhamis mpaka leo Vodacom wananizungusha tu kuongea nao.kwenye mitandao ya kijamii wameweka computer ndo zinajibu.unamuuliza mchele anakujibu pumba
 
Back
Top Bottom