Naren JF-Expert Member Apr 22, 2016 692 425 Mar 13, 2017 #1 Habari wadau nanunua mayai ya kuku wa kienyeji(pure) mwenye nayo tuwasiliane! Nipo Dar es SALAAM
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,905 4,518 Mar 13, 2017 #5 Mkuu ungesema mahitajio yako hapa, unahitaji kiasi gani na kwa kipindi gani ili tujue kabisa. Vinginevyo hata mwenye mayai mawili atakutafuta
Mkuu ungesema mahitajio yako hapa, unahitaji kiasi gani na kwa kipindi gani ili tujue kabisa. Vinginevyo hata mwenye mayai mawili atakutafuta
I immu samaki Member Mar 4, 2017 11 3 Mar 15, 2017 #6 Kwa wauzaji wangejiongeza kwa kuweka wazi bei zao wengi tutashawishik kununua