Wakuu kama nlivyokuja hapa kipindi fulani kuuliza kuhusu biashara ya juice ya miwa ni kwamba mchakato wa maandalizi upo mwishoni hivyo natafuta kijana ambae yupo well committed ktk kusaka pesa,anaejua vyema kazi hii na anaeweza kuchagua center nzuri,mimi nitampatia mashine,kodi ya kulipia eneo,na mtaji wa mizigo kumi ya miwa ili atafute pesa na mgao utakua poa kama uzalishaji upo pia..Uzoefu uzingatiwe pia