Mwenye connection ya kazi ya Storekeeper au kazi yoyote na popote anisaidie

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
538
246
Habari wakuu!

Nina ujuzi wa maswala ya store / Warehouse. Niliwahi kuwa stock controller kwenye deport Fulani ya kuuza vinywaji Kwa zaidi ya miaka mitatu.

Nilikuwa na deal na operation za pale deport, pia mahesabu ya bidhaa zinazoingia na zinazotoka na kuangalia stock kama ipo kwenye uwiano, yaani kiufupi maswala ya mahesabu yote hadi hesabu za kupata matumizi na faida ya Kila siku.

Leo nipo mbele yenu kuomba mwenye connection ya kazi kama hiyo au hata yoyote Ile ntamshukur kwa namna yoyote hata kwa kutoa chochote kitu. Nipo Dar es salaam ila naweza kufanya kazi popote mkoa wowote.

Contact : 0676558714
 
Kipindi hiki sio vizur kuchagua kazi store keeper n mtu muhim munoo...means baadhi ya asset's unasimamia ww ....kuzitunza na kugawa sio rahis kaz hii kupata sehem kama hawakufaham vzr ....ushaur wangu..tafuta kaz ukipata jipenyeze had uwe store keeper..
 
Back
Top Bottom