Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kwani bila kuwapo mwenge wa uhuru hiyo miradi haitakuwa inafunguliwa? Au ndo inaleta hiyo miradi??Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa mkoa Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee
Ameteuliwa lini?Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa mkoa Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee
A lot of money bila sababu za msingi.Hivi mwenge toka uanaanza mpaka una maliza mbio zake unatumia shilingi ngapi?
Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru uliodumu hata kwa miezi 6 .Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa mkoa Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee
can you prove this sir?Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru uliodumu hata kwa miezi 6 .
Mwenge wa uhuru ni kama catalyst...unachochea viongozi kuhamasisha miradi, kuitembelea tangu inaanza hadi mwisho ili kuhakikisha Mwenge unapofika unazindua mradi gani, wa thamani gani, na umuhimu wake..Hivi bila mwenge uzinduzi wa miradi hainogi? Ni vema tukazindua hivi hivi ili kubana matumizi
Utafiti hupingwa na utafiti mwingine , mbishi yeyote anayenitilia mashaka anionyeshe mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge na upo hadi leo .can you prove this sir?
Mradi wa kusamba VVU na kuvunja ndoa za watu umedumu.Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru uliodumu hata kwa miezi 6 .
njoo soku kuu la Songea, njoo chanzo cha maji cha matogoro, njoo zahanati ya mji mwema...Utafiti hupingwa na utafiti mwingine , mbishi yeyote anayenitilia mashaka anionyeshe mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge na upo hadi leo .
Uongo utakusaidia nini ?njoo soku kuu la Songea, njoo chanzo cha maji cha matogoro, njoo zahanati ya mji mwema...