Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,524
- 1,173
Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili Mkoani Njombe, na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva- Mwenge wa Uhuru kukimbizwa Wilayani Ludewa
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa kwa Umbali wa Kilometa 93 Wilayani Ludewa; ukipitia Miradi 7 yenye thamani ya Jumla ya Tsh 8,721,001,010.35
Miradi hii ya Maendeleo ni miradi ya Sekta za Afya, Maji, Elimu, Miundombinu- Mazingira.
Kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024:
“Tunza mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu”
Tarehe 16/06/2024