Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,753
MWENEZI MAKONDA AKUTANA NA FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametembelea Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wilayani Butiama Mkoani Mara ambapo amesalimu na kuzungumza na Familia.
Mwenezi Makonda alifika Mkoani Mara tarehe 13 Novemba, 2013 kwa ziara ya siku moja ilitofanyika jana tarehe 14 ambapo alizungumza na Maelefu ya Wananchi wa Mkoa huo katika kutambua uhai wa Chama Cha Mapinduzi, kusikiliza na kutatua kero pamoja na kuzungumza na Wazee.