Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,673
- 4,492
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 .
Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa kijiji uliofanyika Ismani Tarafani, Kata ya Kihorogota , Wilaya ya iringa.
"Ndugu Wananchi nawaomba tujitokeze kwa wingi kwenda kutumia haki yetu kikatiba ya kuwachagua viongozi tunao wataka, ifikapo Novemba 27, 2024"