Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA
Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu kuona Uhai wa Chama, Wasanii wataburudisha kipindi cha kampeni
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amebainisha kuwa hatopenda kuona CCM inahangaika kuombaomba kura bali anachokihitaji ni kuona Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujipambanua kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa Ilani yake na hatimaye kuendelea kujenga imani kubwa kwa Watanzania.
Mwenezi Makonda ameyasema hayo tarehe 20 Januari, 2024 akizungumza na Baraza la Wazee wa Tanga katika hafla fupi ya kula chakula cha usiku kwa pamoja.
Aidha, Mwenezi Makonda amesema hatopenda kuona kwasasa mikutano ya CCM inatumika kujaza watu kwa kutumia Wasanii na badala yake ijaze kutokana na kujipambanua kwa kazi na sera zake.
" Sitaki kufanya mikutano ya kujaza wasanii kwasababu nataka kuona uhai wa Chama Cha Mapinduzi na sio kujaza mikutano kwa kutumia wasanji, kusema hivi haimaanishi CCM hatupendi wasanii...hapana ni watu wetu na tunawapenda na tunatambua na wao wanaipenda CCM lakini kwasasa ni wakati wa kuchapa kazi na wakati wa burudani utafika huko mbeleni kipindi cha kampeni "
" Lazima tujipime tuone Chama Cha Mapinduzi tupoje na ndio tutaweza kumsaidia kazi Mwenyekiti wetu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuona Uhai wa Chama na Jumuiya zake "
Hayo yamesemwa na Mwenezi Ndugu. Paul Makonda.
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
PIA, SOMA:
Matamko mengine ya Paul Makonda

- Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi
- Makonda: Yetote mwenye sifa atasimamia uchaguzi
- Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme
- Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa
- Mwenezi Makonda amuagiza Meya na Mkurugenzi Halmshauri ya Pangani kuhakikisha kituo cha afya cha mwenbeni kinajengwa - Pangani
- Mwenezi Makonda ampatia tsh milioni 2 kijana mjasiriamali mwenye kujiendeleza kibiashara
- Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri
- Mwenezi Makonda amuagiza Meya na Mkurugenzi Halmshauri ya Pangani kuhakikisha kituo cha afya cha mwenbeni kinajengwa - Pangani
- Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza
- Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana
- Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu
- Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi
- Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo