Mwenezi Makalla Ahitimisha Ziara ya Majimbo 10 DSM

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,618
1,198

NI KISHINDO JIMBO LA MBAGALA MWENEZI MAKALLA AHITIMISHA ZIARA YA MAJIMBO 10, DSM USHINDI MKUBWA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla na Mlezi wa CCM Kichama Mkoa wa Dar es salam leo amehitimisha ziara yake ya kukagua na kusikiliza kero za wananchi katika majimbo 10 ya Mkoa wa Dar es salam akimalizia Jimbo la Mbagala .

Mwenezi Makalla akihutubia Maelfu ya Wanachama na Wananchi wa Wilaya ya Temeke Jimbo la Mbagala viwanja vya Maturubai amesema kwa Wingi huu mmenitia moyo kuwa CCM bado ni imara sana na itaendelea kuongoza Nchi hii nami niwapongeze kwa mapokezi Makubwa na Mazuri na huu Ujumbe ni nitamfikishia Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mbagala wamezima zote na wamewasha Kijani.

🗓️ 29 Agosti,2024.
📍 Maturubai Mbagala

#VitendonaSauti
#TuendeleenaMama
#KaziIendelee
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2024-08-30 at 11.09.06.mp4
    40.4 MB
  • WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09.jpeg
    WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09.jpeg
    529 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(1).jpeg
    576.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(2).jpeg
    902.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(3).jpeg
    WhatsApp Image 2024-08-30 at 11.09.09(3).jpeg
    625.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom