Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

Mech

Senior Member
Nov 13, 2017
127
307
Habari wakuu,

Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa kampuni.

Mgawanyo wa faida utakuwa kwa asilimia ambazo tutakubaliana.

Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia Whatsap namba:- 0747 642 122.

Asanteni
 
Mkuu japo sio dhamira kuu ya huu uzi naomba nikupe elimu ya uendeshaji wa kampuni kwa Tanzania na takwa la sheria lilivyo. Itakusaidia wewe pamoja na wengine pia.

Kwanza kabisa Mkuu nitaanza na maelezo yako mwenyewe hapo juu.
Kama ni kampuni iliyosajiliwa Brela ni wazi mpo zaidi ya mtu mmoja yaani wamiliki hapo mpo wawili au zaidi.

Sasa hao wawili au zaidi ndio wamiliki na kimsingi ndio wawekezaji, ikiwa mna mtu mwingine nje ya nyie ambaye kaweka fedha yake hapo mmeenda nje ya sheria za uendeshaji wa makampuni Mkuu (rekebisheni hilo, nitawaeleza kivipi).

Sasa hapa umesema unatafuta mwekezaji japo ulishasema kuna mwekezaji (sio kesi).

Yeyote atakayeingia kama mwekezaji hapo ni lazima awe sehemu ya wamiliki wa hiyo kampuni ili muende sawa, sasa ninyi nmachotaka ni fedha za uendeshaji labda na utendaji hapo mtamhitaji mtu ambaye atakuwa mwanahisa wa mtaji huyu atatoa fedha tu na kusubiri mgao wa faida baadae.

Sasa mgao wa faida mtaupataje?, nimeona umesema mtakubaliana ila kimsingi ni rahisi sana sababu faida itatoka kwa uwiano wa asilimia za umiliki wa hiyo kampuni yenu ambao utaupata kwenye idadi.za hisa kwa kila mwanahisa.

Jambo lingine muhimu sana ni kuzingatia sheria ya makampuni maana kuna uwezekano mkubwa hata mmoja wenu hamjawahi kununua hisa alizochukua kwenye hiyo kampuni.

Pili leseni za mamlaka husika za shughuli mnazozifanya, kodi na mengineyo.

Haya yote akija mtu ambaye kweli amelenga kuwekeza kwenu atatafuta wakili akija kwetu mawakili tutaanza na hayo kwenye kampuni yenu yakiwa magumashi tutaishia kumshauri tofauti na mataraji yenu Mkuu.

Hivyo zingatia hayo kwanza Mkuu, ila pia kama unatafuta mtu serious na upo serious ungeweka details kadhaa za kawaida hapa Mkuu mfano jina la kampuni, namba ya usajili na standard search report kutoka Brela.

Ukiwa na swali lolote usisite kuuliza Mkuu.

Karibu na kila la kheri.
 
Nadhani umeenda mbali sana mkuu. Kampuni ina Capital na inakazi inafanya ila kwa sasa tunataka kuongeza nguvu ya team pamoja na fund.Hiivyo basi partnership deeds itahusika, kulingana na agreements ambazo tutaafiki.

Kila kitu kitaenda kisheria ili pande zote mbili ziwe salama.

Shukrani sana na nimependa maelezo yako
 
Mkuu japo sio dhamira kuu ya huu uzi naomba nikupe elimu ya uendeshaji wa kampuni kwa Tanzania na takwa la sheria lilivyo. Itakusaidia wewe pamoja na wengine pia.

Kwanza kabisa Mkuu nitaanza na maelezo yako mwenyewe hapo juu.
Kama ni kampuni iliyosajiliwa Brela ni wazi mpo zaidi ya mtu mmoja yaani wamiliki hapo mpo wawili au zaidi.

Sasa hao wawili au zaidi ndio wamiliki na kimsingi ndio wawekezaji, ikiwa mna mtu mwingine nje ya nyie ambaye kaweka fedha yake hapo mmeenda nje ya sheria za uendeshaji wa makampuni Mkuu (rekebisheni hilo, nitawaeleza kivipi).

Sasa hapa umesema unatafuta mwekezaji japo ulishasema kuna mwekezaji (sio kesi).

Yeyote atakayeingia kama mwekezaji hapo ni lazima awe sehemu ya wamiliki wa hiyo kampuni ili muende sawa, sasa ninyi nmachotaka ni fedha za uendeshaji labda na utendaji hapo mtamhitaji mtu ambaye atakuwa mwanahisa wa mtaji huyu atatoa fedha tu na kusubiri mgao wa faida baadae.

Sasa mgao wa faida mtaupataje?, nimeona umesema mtakubaliana ila kimsingi ni rahisi sana sababu faida itatoka kwa uwiano wa asilimia za umiliki wa hiyo kampuni yenu ambao utaupata kwenye idadi.za hisa kwa kila mwanahisa.

Jambo lingine muhimu sana ni kuzingatia sheria ya makampuni maana kuna uwezekano mkubwa hata mmoja wenu hamjawahi kununua hisa alizochukua kwenye hiyo kampuni.

Pili leseni za mamlaka husika za shughuli mnazozifanya, kodi na mengineyo.

Haya yote akija mtu ambaye kweli amelenga kuwekeza kwenu atatafuta wakili akija kwetu mawakili tutaanza na hayo kwenye kampuni yenu yakiwa magumashi tutaishia kumshauri tofauti na mataraji yenu Mkuu.

Hivyo zingatia hayo kwanza Mkuu, ila pia kama unatafuta mtu serious na upo serious ungeweka details kadhaa za kawaida hapa Mkuu mfano jina la kampuni, namba ya usajili na standard search report kutoka Brela.

Ukiwa na swali lolote usisite kuuliza Mkuu.

Karibu na kila la kheri.
Wanaweza kuingia makubaliano kwa MoU; Kampani A vs Kampani B/individual (muwekezaji)
Nb: Ni vizuri pia afafanue kwa kina kuhusu hii biashara ili kuweza kuvutia wengi wenye mitaji.
 
Uko sahihi mkuu,

Na ndio maana nikatoa namba ya simu kwa ambaye yupo interested atanicheki Whatsap ili kudiscuss zaidi. Anaweza kuwa anataka kuwa Shareholder nayo pia inawezekana kama tukiafiki. Kampuni ipo active na inafanya kazi
 
Nadhani umeenda mbali sana mkuu. Partnership deeds itahusika, kulingana na agreements ambazo tutaafiki.

Kila kitu kitaenda kisheria ili pande zote mbili ziwe salama.

Shukrani sana na nimependa maelezo yako
Karibu Mkuu, ila sikushauri muingie kwenye partnership nyie kampuni na mtu binafsi, zipo sababu za kisheria kabisa.

Hapo mngeweza kufanya Joint Venture kwa Joint Venture Deed na hii itahitaji iwe kampuni kwa kampuni.

Umeona kama ilivyo miradi ya bara bara unakuta kampuni hata 5 kwenye mradi mmoja basi huwa wanafanya hicho kitu nilichopendekeza.

Tatizo la hii J.V ni kuwa itahitaji huyo upande wa pili naye awe kampuni.

Lakini nitarudia kukuelezea kitu labda haukunielewa vizuri, ni kuwa hicho mnachowaza kufanya ni possible kabisa Mkuu wala siyo kitu kipyana mtu wa hivyo ndio huyo niliyekuambia Mwanahisa mwekezaji (tafsiri yangu) anajulikana kama Preferrential Shareholders huyu ataweka mtaji tu na kusubiri gawio hataangaika na uendeshaji wa kampuni yenu.

Nimekushauri haya ili upate picha ni wapi mnaelekea inawezekana ama kwa kujua au kwa kutokujua Mkuu ila hilo ndio hitaji lenu kwa maelezo yako.

Nyongeza; usikubali kwenda kienyeji maana unaweza angukia kwenye utakatishaji fedha watch out Mkuu sababu kama nimekuelewa hii partnership unataka iwe ni kampuni na huyo mwekezaji, sasa hii inakuweka karibu saba na utakatishaji fedha.

Karibu.
 
Shukrani sana kaka.

Nimeipata point yako. Mungu akubariki, mara ya kwanza nilikuwa sijakuelewa vizuri
 
MoU sawa ila itamuepushaje na money laundery, icho kipengele kizito ni bora huyo investor akawa sehemu ya kampuni sababu sheria inatambua uwepo wa shareholder ambao kazi yao ndio hiyo

Ni rahisi hata kujinasua na ML
Wanaweza kuingia makubaliano kwa MoU; Kampani A vs Kampani B/individual (muwekezaji)
Nb: Ni vizuri pia afafanue kwa kina kuhusu hii biashara ili kuweza kuvutia wengi wenye mitaji.
 
Inajishughulisha na ninj?, Ungejitahidi kuweka maelezo ya kutosha ili tujue ndugu.
Mkuu changamoto ni kwamba siwezi kuweka kila kitu

Nimeweka namba ili kwa ambaye yuko interested aje tujadili kwa pamoja ni kitu gani anahitaji kufahamu.
 
Back
Top Bottom