Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,617
- 13,320
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif amesema:
Kuhusu changamoto ya maji inawezekana kwake Mdau ndio kuna changamoto, sio kweli kuwa kuna uhaba wa maji.
Kilichofanyika maeneo hayo kulikuwa na maboresho ya miundombinu katika maeneo ambayo ameyataja.
Tulifunga maji na tunapofanya hivyo kuwa kunakuwa na njia mbadala kwa ajili ya kufikisha huduma ili kuhakikisha Wateja wetu hawapati athari, tulifunga njia moja tukafungua njia nyingine.
Bahati mbaya tulipofungua line ya awali ikaonekana kuna sehemu inavuja, ikabidi tufunge ten ana kurekebisha.
Tunaomba mteja yeyote ambaye hadi sasa hudum haijarejea kwake awasiliane na sisi kwa kuwa huduma za maji zinapatikana sehemu zote.
Wanapowasiliana na sisi tunafika kwa haraka, kuna baadhi ya Wateja ambao Mita zao zinakuwa ndani ya mageti na inakuwa ngumu kufikika kama wao hawapo, lakini huduma zinaendelea kama kawaida.