Ndg zangu habari!, nina mpango wa kuanza kufikisha ujumbe wangu kwa watu wengine kupitia njia ya uimbaji wa nyimbo za injili soon mwaka huu. naomba mwenye kujua studio nzuri ya kurekodi gospel tracks mkoani mwanza aweze kunielekeza na ikiwezekana anipatie mawasiliano kama utakuwa unayo.
Nitashukuru sana kwa ushirikiano!!!.