Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Jamaaenu anafahamu hilo? Muda si mrefu atalitolea tamko na mtapata maji ya kutosha!!!!...
Lakini pia ningependa hiyo mitambo ya maji iharibike kabisa..ili muisome namba vizuri.....mnajiona sana na huyo mtu wenu.....
Dah. Kuwa na huruma jamaaJamaaenu anafahamu hilo? Muda si mrefu atalitolea tamko na mtapata maji ya kutosha!!!!...
Lakini pia ningependa hiyo mitambo ya maji iharibike kabisa..ili muisome namba vizuri.....mnajiona sana na huyo mtu wenu.....
Tumeamua na kuchagua wenyewe.Nachoshangaa nini sasa kwa nchi
Hii mbona mororo tu kwa ujumla tanzania haikutakiwa kuwa na uhaba wa huduma ya maji kila kona maji wananchi hawana maji
Naongelea kuanzia nyegezi, Malimbe Chuoni, buhongwa, mkolani,Mwanza sehemu gani?
Natumaini kupitia JF kitamfikia.Pelekeni kilio chenu kwa Waziri wa maji
Hata Igoma maji yanasumbua sana, hapo idara ya maji kunamajipu yameiva.Naongelea kuanzia nyegezi, Malimbe Chuoni, buhongwa, mkolani,
Mbona sie tupo nyegezi na maji tunapata!!!Naongelea kuanzia nyegezi, Malimbe Chuoni, buhongwa, mkolani,
Mimi nipo nyakato kuna maji.Mbona sie tupo nyegezi na maji tunapata!!!