Tetemeko la ardhi lililopita muda si mrefu limeacha madhara hapa Misungwi kwa kusababisha kifo cha askari mmoja kwa jina la Joyce. Mwili umepelekwa hospitali ya Misungwi
Nilikuwa nyumbani ndani buzuruga ,limenikimbiza nje.Kuanzia sa 6:56-6:57 mchana huu
Nimejikuta niko nje sijui nimefikaje, Duu...!! Mungu tusaidieNilikuwa nyumbani ndani buzuruga ,limenikimbiza nje.
Ya ni tetemeko kubwa kwakweli, yani roho inanidunda mpaka sasaKubwa sijui kama imewaacha watu salama