Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,191
- 2,903
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo. ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu,.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Idrisa Kisaka amesema tasisi hiyo ya kupambana na rushwa ipo macho kufatilia kila hatua za uchanguzi.
Aidha pamoja na hayo Kisaka amesema taasisi hiyo imefanikiwa kuthibiti matumizi mabaya ya fedha za umma, kwa kufatilia utekelezaji wa miradi 15 yenye thamani ya Bilioni 25.8. na miradi 8 imekutwa na mapungufu madogo madogo.
Soma: TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa kujitoa baada ya rushwa