figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,624
- 55,273
Blaza usijali maana unakuta hata huyo chinga wa karanga ameshapangwa kabisa na ni mtu wa system.Walinz Vp Hao Wanamruhusu Rais Atafune Atafune Karanga Hovyo Hovyo,usalama Wa Rais Uko Wapi Hapo?
Walinz Vp Hao Wanamruhusu Rais Atafune Atafune Karanga Hovyo Hovyo,usalama Wa Rais Uko Wapi Hapo?
Nyie jiandaeni kisaikolojia mapeema kuvuna kura za aibu 2020!Hivi uchaguzi umekaribia?
Kasi ya kununua karanga au? Cheap politicsKasi hiyo hiyo mpaka chadema wajinyonge
Wanafanya maigizo hawa jamani. Hivi Markel anaweza akasimamacakaanza,kununua,karanga jamaniWalinz Vp Hao Wanamruhusu Rais Atafune Atafune Karanga Hovyo Hovyo,usalama Wa Rais Uko Wapi Hapo?
Inasaidia nini sasa kwetu?au ndio sifa za,kipumbavu...mkimpa urais mshamba kazi sanaBlaza usijali maana unakuta hata huyo chinga wa karanga ameshapangwa kabisa na ni mtu wa system.