ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,743
- 72,157
Polisi huko Mwanza Wametoa taarifa ya Mwanamke mmja kuuwawa na mumewe baada ya Mke kumtuhumu Mume Kwa sababu alikuta sms ya mapenzi kwenye simu ya Mwanaume.
Baadae Mume alikimbia ila akazidiwa na sonona pamoja na damu isiyo na hatua ya Mkewe kisha kununua Vidonge vya Metronidazole kunywa pamoja na Nyagi ya kuzidi.👇👇
View: https://youtu.be/fXfbv-Mvt6c?si=y-8Q_pGxDRpyLASL
Ushauri.
1. Usifanye maamuzi Ukiwa na Hasira,Furaha iliyopitiliza au Ukiwa Umelewa.
2.Ukitokea Ugomvi Wowote ni Bora Kukaa Kimya au Kuondoka eneo husika hata kama ni nyumbani Ili kuepusha majibizano nk.
3.Mambo ya kuoana sio lazima.
4.Usishike au kusoma au kudukua Mawasiliano ya Mke/Mume ni hatari lakini pia ni kosa kisheria.
5.Usiishi na mwenza kana kwamba unaishi na Malaika (Unaweka Imani na over expectation).
Pia soma Mwanza: Mume amnyonga mke wake hadi kufa sababu ya wivu wa kimapenzi