Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Na mm huwa nawaza hicho kitu.Siku ya quake Mwanza mmmg.Hatuombei lakini ni vizuri kuwa proactive.Haya mawe ni hatari sana sipati picha siku tetemeko likipita maeneo hayo
Mtoto mmoja jijini Mwanza amefariki baada ya kuangukiwa na jiwe kichwani baada ya kuporomokea kwenye nyumba yao wakiwa wamelala ndani.
Chanzo: Mwananchi
View attachment 480219