MWANZA: Jambazi aliyepora gari aina ya Toyota Kluger na TZS 9 Milioni apigwa risasi na Polisi na kufariki papo hapo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Mwanza ujambazi huwa hauishi kabisa!

Jambazi amempora mChina gari aina ya Toyota Kluger V na baadae kunyakua Milioni 9 kisha kutokomea.

Polisi katika kuwafukuzia wakafanikiwa kupiga risasi tairi la nyuma lakini kwa bahati mbaya risasi ikaruka na kumpata jambazi aliyekuwa amekaa seat ya nyuma na kufariki papo hapo.

Jambazi mwingine ametokomea na hela kiasi cha TZS 5 Milioni.

Ujambazi Mwanza sijui kwanini haukomi.

IMG_20180522_203011_HDR.jpg
 
Hizo risasi siku hizi kwa kuruka juuu hatare sana .
Anyways ulale umapostahiki jambazi
 
Duh! Yaani risasi imepiga tairi bahati mbaya ikaruka ikaua jambazi aliyekaa siti ya nyuma...

Au mi ndo sijaelewa wakuu!!??
 
Back
Top Bottom